Skip to main content

Kondoo wawili wabadili maisha ya wanawake Morocco

Kondoo wawili wabadili maisha ya wanawake Morocco

Kondoo wawili pekee walitosha kuleta tofauti ya kipato katika kaya vijijini huko Morocco ambapo Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na serikali ya taifa hilo la Kaskazini mwa Afrika imeanzisha mradi wa kuwakwamua wanawake.

Huu ni mradi ulioleta matokeo chanya baada ya mkopo kwa wanawake hao uliowawezesha kumiliki idadi hiyo ya wanyama hao wa kufugwa , kisha kuinua kipato cha mwanamke na jamii. Joseph Msami anasimulia katika makala ifuatayo.