António Guterres, Katibu Mkuu wa Tisa wa Umoja wa Mataifa
Tarehe 12 Disemba mwaka 2016, Umoja wa Mataifa umepata Katibu Mkuu mpya António Guterres, akipokea kijiti kutoka kwa Ban Ki-moon aliyemaliza awamu zake mbili za kuongoza chombo hicho chenye wanachama 193. Je António Guterres ni nani? Ungana basi na Assumpta Massoi katika Makala hii ya Wiki.