Skip to main content

António Guterres, Katibu Mkuu wa Tisa wa Umoja wa Mataifa

António Guterres, Katibu Mkuu wa Tisa wa Umoja wa Mataifa

Tarehe 12 Disemba mwaka 2016, Umoja wa Mataifa umepata Katibu Mkuu mpya António Guterres, akipokea kijiti kutoka kwa Ban Ki-moon aliyemaliza awamu zake mbili za kuongoza chombo hicho chenye wanachama 193. Je António Guterres ni nani? Ungana basi na Assumpta Massoi katika Makala hii ya Wiki.