Uhifadhi wa utamaduni kupitia matamasha Bulgaria

Uhifadhi wa utamaduni kupitia matamasha Bulgaria

Katika kudumisha utamaduni wa Bulgaria, shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO limechukua hatua ya kuendeleza tamasha la muziki ambalo hukusanay vijapi kadhaa nchini humo na kuto aburudnai.

Ungana na Flora Nducha katika makala itakayokufikisha katika eneo la tukio kujionea utamaduni huo.