Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Sherehe kuadhimisha miaka 70 ya UNICEF

Sherehe kuadhimisha miaka 70 ya UNICEF

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF liliadhimisha miaka 70 ya kazi yake kwa watoto hivi karibuni Desemba 12 kwenye sherehe iliyofana katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa. Tukio hilo lilijulikana kama takeover children liliongozwa na baadhi ya mabalozi wema wa shirika hilo wakiwemo watu maarufu wacheza filamu na wengine kwa pamoja na msichana Millie Bobby Brown mwenye umri wa miaka 12  akishirikiana na vijana ambao wamenufaika moja kwa moja kutokana na juhudi za UNICEF