Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mengi yameighubika Afrika 2016:Balozi Kamau

Mengi yameighubika Afrika 2016:Balozi Kamau

Mwaka 2016 unakaribia kukunja jamvi ukiwa unamalizika na masuala chungu nzima. Kwenye Umoja wa Mataifa pia mengi ymetamalaki kuanzia vita na hata matumaini ya mustakhbali wa wanawake. Lakini yapi yaliyoelemea zaidi bara la afrika lenye nchi 54 na yanayostahili kufanyiwa kazi? Flora Nducha wa Idhaa hii ameketi na balozi Macharia Kamau, mwakilishi wa Kenya kwenye Umoja wa Mataifa lakini pia mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu kuhusu masuala ya El nino kuyachambua, ambatana nao

(MAHOJIANO MACHARIA KAMAU)