Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tuna matumaini na Katibu Mkuu ajaye Guterres- Kamau

Tuna matumaini na Katibu Mkuu ajaye Guterres- Kamau

Mwakilishi wa kudumu wa Kenya kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Macharia Kamau amesema wana matumaini makubwa na Katibu Mkuu ajaye Antonio Guterres ambaye anaanza majukumu yake tarehe Mosi mwezi ujao.

Akihojiwa na Idhaa hii, Balozi Kamau amesema..

(Sauti ya Balozi Kamau

Balozi Kamau akagusia hoja ya Bwana Guterres ya kuwepo maneno mengi huku vitendo vikiwa vichache.

(Sauti ya Balozi Kamau)