Skip to main content

ICGLR yatia moyo na mwelekeo Sudan Kusini

ICGLR yatia moyo na mwelekeo Sudan Kusini

Katibu mtendaji wa mkutano wa kimataifa wa Maziwa Makuu barani Afrika, ICGLR, Balozi Zachary Muburi-Muita amesema anatiwa moyo na mwelekeo wa serikali ya Sudan Kusini katika kushirikisha pande zote kwenye mustakhbali wa amani nchini  humo.

Balozi Muburi-Muita amesema hayo alipohojiwa na Idhaa hii kufuatia ziara yake hivi karibuni huko Sudan Kusini ambapo amesema

(Sauti ya Balozi Muburi-Muita)..