Mkutano wa maziwa makuu na hali DRC
Hali ikiwa bado ni tete huko katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC mkutano wa kimataifa wa maziwa makuu barani Afrika umetoa maoni yake kuhusu kile kinachoendelea nchini humo ili kuleta maelewano baada ya uchaguzi mkuu kusogezwa hadi mwaka 2018.
Akihojiwa na Idhaa hii, Katibu mtendaji wa mkuu wa kimataifa wa maziwa makuu barani Afrika Balozi Zachary Muburi-Muita amesema..
(Sauti ya Muburi-Muita)