Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wanawake Sudan Kusini wafundwa kuhusu umuhimu wa elimu.

Wanawake Sudan Kusini wafundwa kuhusu umuhimu wa elimu.

Wanawake jitokezeni! Hii ni moja ya kauli iliyotolewa wakati wa kampeni ya kuchagiza elimu kwa wanawake nchini Sudan Kusini ambayo imeendeshwa na Umoja wa Mataifa

Joseph Msami anamulika umuhimu wa kampeni hiyo katika taifa ambalolimekumbwa na machafuko ya wenyewe kwa wenyewe. Ungana naye.