Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Burudani na ubunifu waweza kuinua uchumi Afrika: Wadau

Burudani na ubunifu waweza kuinua uchumi Afrika: Wadau

Licha ya kutoonekana umuhimu wake, tasinia ya ubunifu na burudani inayojumuisha filamu an muziki,  inadaiwa kuwa chanzo kikuu cha mapato kwa mataifa yanaoyoendelea mathalani Tanzania, wamesema wadau wa sekta hiyo.

Wadau hao wamesisistiza umuhimu wa kuthaminiwa ili waongeze kiwango cha ajira. Ungana na Martin Nyoni wa redio washirika redio SAUT ya Mwanza Tanzania, katika makala ifuatayo kufahamu kwa undani.