Kujitolea huleta utoshelevu: UM Tanzania

2 Disemba 2016

Kuelekea siku ya kimataifa ya kujitolea tarehe tano Disemba, shirika la Umoja wa Mataifa la kujitolea UNV nchini Tanzania linatarajia kuitumai siku hii kufanya kazi za kujitolea katikamjini Dar es Salaam ili kuhamasisha jamii kujitolea kwa ajili ya maendeleo, amani na usaidizi kwa wahitaji.

Katika mahojiano na Afisa habari wa kituo cha Umoja wa Maraifa Tanzania, Stella Vuzo, Afisa Programu wa UNV Joseph Aloo amesema.

( SAUTI ALOO)

Ametaja faida za kujitolea kuwa ni pamoja na utoshelevu wa usaidizi kwa jamii na.

( SAUTI ALOO)

 

♦ Kurambaza ukurasa mahsusi wa Siku ya Kiswahili Duniani bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter