Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Huduma ya kupima VVU yafuata madereva wa lori

Huduma ya kupima VVU yafuata madereva wa lori

Katika utafiti wa mwaka 2015 nchini Afrika Kusini, idadi ya wanaoishi na virusi vya ukimwi, VVU ilikuwa takriban milioni 7 huku kutokupimwa mapema ndio chanzo kikuu cha vifo na maambukiz mapyai.

Nchini humo, vituo vya afya sasa vimekwenda mbali zaidi kusambaza huduma za kupima na vimefika katika maeneo yasiyo ya kawaida na kutoa huduma hata saa za usiku kupunguza idadi hiyo. Je nini kinafanyika?. Assumpta Massoi anasimulia..