Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vijana Kenya wabobea masomo ya anga

Vijana Kenya wabobea masomo ya anga

Mkutano wa masuala ya anga uliondaliwa baina ya ushirikiano wa Umoja wa Mataifa na falme za kiarabu unaondelea Dubai, umeleta pamoja wadau mbali mbali kutathmini matumizi ya teknolojia ya anga katika maendeleo endelevu.

Akihojiwa na Redio ya Umoja wa Mataifa katika mkutano huo, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Pwani huko Kilifi, nchini Kenya, Bwana Joseph Ouko OLWENDO amesema chuo chake kimeanzisha masomo ya anga na hii limeleta motisha kubwa kwa vijana..

(Sauti ya Joseph1)

Halikadhalika amesema ingawa Kenya haijawekeza rasilimali za kutosha kwenye teknologia ya anga...