Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNESCO yalaani mauaji ya mwanahabari DRC

UNESCO yalaani mauaji ya mwanahabari DRC

Mkurugenzi Mkuu wa shirik,a la elimu sayansi na utamaduni UNESCO, Irina Bokova, leo amelaani mauaji ya mwandishi wa habari wa Televisheni, Marcel Lubala wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, yaliyofanyika kati ya kati ya 14-15 Novemba mjini Mbuji-Mayi, nchini humo

Kupitia taarifa yake, Bi Bokova amesema wanahabarui wanapaswa kufanya kazi zao ya kutaarifu umma bila hofu ya maisha yao, n akuongeza kuwa anatarajia mamalaka nchini humo itanendesha uchunguzi na wahusika watafikishwa katika vyombio vya sheria.

Lubala mwenye umri wa miaka 59, alikuwa akifanya kazi katika kituo cha televisheni RTNC MbujiMayin ambacho ni sehemu ya kituo cha taifa cha Congo RTNC.

Watu waliojihami kwa silaha walimuua mwanahabari huyo nyumbani kwake