Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

\WHO, wadau wakabiliana na kipindupindu Haiti

\WHO, wadau wakabiliana na kipindupindu Haiti

Kampeni ya chanjo ya kukabiliana na kipindupindu inaendelea nchini Haiti ambapo wadau wa masuala ya afya wanaungana katika kukabilina na mlipuko huo uliotokana na kimbunga Mathew.

Joseph Msami anasimulia kuhusu chanjo hiyo katika makala ifuatayo.