Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UN-Habitat yawezesha wakazi wa Turkana, Kenya.

UN-Habitat yawezesha wakazi wa Turkana, Kenya.

Nchini Kenya katika kaunti ya Turkana, wenyeji na wakimbizi wa eneo hilo wanapewa msaada wa kujengewa uwezo kwa ajili ya kuwasaidia kimaendeleo.

Shirika la Umoja wa Mataifa la makazi UN-Habitat limeungana na wadau ambapo katika hatau za awali wakazi hapo wamepatiwa stadi za maisha. Katika makala ifuatayo Joseph Msami anakueleza mafaniko ya mradi wa kupiga picha