Kamishna wa UNHCR ziarani Burundi

Kamishna wa UNHCR ziarani Burundi

Msaidizi wa kamishna mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR,  Volker Turk ameanza ziara ya siku mbili nchini Burundi, ziara unayotarajiwa kumkutanisha na wadau wa masuala ya kibinadamu  wakiwamo viongozi wa kitaifa.

Joseph  Msami amezungumza na mwandishi wetu Ramadhani Kibuga kutoka Burundi kuhusu ziara hiyo.

( SAUTI KIBUGA)