Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Uchaguzi wa Congo DRC sasa kufanyika 2018

Uchaguzi wa Congo DRC sasa kufanyika 2018

Uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC uliokuwa ufanyike baadaye mwaka huu, sasa umeahirishwa hadi miaka miwili ijayo.

Akizungumza na Radio ya Umoja wa mataifa Balozi Zachary Muburi Muita ambaye ni Katibu Mkuu wa Mkutano wa kimataifa kwa ajili ya maziwa makuu amezema baada ya mjadala wa kitaifa juma lililopita serikali ya DRC na baadhi ya wapinzani wameafikiana kuhusu hatua hiyo

(MUBURI DRC CUT )

Na kuhusu nani atakayeendesha jahazi uchaguzi ukisubiriwa Balozi Muburi amesema

(MUBURI DRC )