Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Misaada imeanza kufika lakini hali bado ni tete Gaalikacyo:OCHA

Misaada imeanza kufika lakini hali bado ni tete Gaalikacyo:OCHA

Ingawa misaada imeanza kuwafikia walengwa wa machafuko ya karibuni mjini Gaalikacyo Katikati mwa Somalia, lakini hali bado ni tete na maelfu wanaendelea kufungasha virago.

Hayo ni kwa mujibu wa afisa wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu masuala ya kibinadamu OCHA, Bwana Tomas Nyambane ambaye anasema watu hao wakiwemo wakimbizi wa ndani wanafungasha virago kufuatia mapigano yaliyoanza mapema mwezi huu kati ya watu kutoka Galmadug na Puntland .

(SAUTI NYAMBANE CUT -1)

Na kuhusu misaada ya kibinadamu amesema

(SAUTI NYAMANE CUT-2)