Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Licha ya vikwazo,wanawake vijijini huzalisha

Licha ya vikwazo,wanawake vijijini huzalisha

Uzalishaji kwa mwanamke wa kijijini unakabiliana na vikwazo kadhaaa vya kiuchumi na kijamii ikwemo mitaji na mila potofu kuhusu nafasi ya mwanamke, hata hivyo bado wanawake wa kijijini katika maeneo mbalimabli huzalisha.

Katika makala ifuatayo Anatory Tumaini wa redio washirika Karagwe Fm ya Kagera Tanzania, ametembelea moja ya vijiji na kujionea namna wanawake walivyojikita katika uzalishaji na hivyo kuzilisha familai zao. Ungana naye.