Skip to main content

Dhana na juhudi za kuutokomeza umasikini Tanzania

Dhana na juhudi za kuutokomeza umasikini Tanzania

Wakati dunia imeadhimisha siku ya kuutokomeza umasikini mnamo Oktoba 17, maana ya dhana ya umasikini ambalo ni lengo namba moja la maendeleo endelevu SDGs,  imemulikwa.

Katika makala ifuatayo, Martin Nyoni wa redio washirika redio SAUT  ya Mwanza Tanzania, anazungumza na wakazi wa jiji hilo kuhusu namna wanavyoelewa umasikini na kumulika  juhudi za kuutokomeza.