Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Turejeshe imani kwa watu ili tuwasaidie: Lars

Turejeshe imani kwa watu ili tuwasaidie: Lars

‘‘Hatuwaamini watu kama ilivyokuwa awali’’ huu ni ujumbe wa Lars Asklund raia wa Sweden ambaye amemhifadhi mkimbizi Farah Hilal, kutoka Syria, akiwa ameambatana na mumewe na kaka yake.

Usamaria wema huo umemfanya Farah kuanza kustawi licha ya kuwa ugenini, na pia kufufua matumaini ya kutimiza ndoto zake. Ungana na Joseoph Msami katika makala ifuatayo.