Mkutano wa makazi Quito wafunga pazia #HabitatIII

20 Oktoba 2016

Mkutano wa tatu wa makazi yaani HABITAT III unakunja jamvi hii leo mjini Quito Ecuador. Mkutano huo unamalizika kwa nchi 193 wanachama wa Umoja wa Mataifa kupitisha ajenda mpya ya miji kwa miaka 20 ijayo.

Profesa Anna Tibaijuka Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi UN-HABITAT na sasa mbunge nchini Tanzania, anaiwakilisha serikali yake katika mkutano huo, na anafafanua kuhusu ajenda hiyo mpya ya miji

(Profesa Tibaijuka- 1)

Na kuhusu nchi yake Tanzania na ajenda hiyo anasema,

(Profesa Tibaijuka- 2)

 

♦ Kurambaza ukurasa mahsusi wa Siku ya Kiswahili Duniani bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter