Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mende na funza wageuka mtaji nchini Tanzania

Mende na funza wageuka mtaji nchini Tanzania

Katika harakati za kutekeleza wito wa Umoja wa Mataifa wa kutaka vijana kusongesha malengo ya maendeleo endelevu, SDGs, nchini Tanzania kijana mmoja ameanzisha kiwanda cha kuzalisha mende na funza ili kutengenza chakula cha mifugo.

Riula Daniel amemweleza Stella Vuzo wa kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa nchini humo wakati wa kilele cha wiki ya viijana kuwa..

(Sauti ya Riula-1)

Na akaelezea chanzo cha ubunifu wa mradi huo ambao sasa una mwaka mmoja..

(Sauti ya Riula-2)

Mahojiano kamili kati ya Riula na Stella wa UNIC Dar es salaam yatapatikana kwenye tovuti yetu.