Wanahabari watoto Tanzania wachagiza uelewa wa mabadiliko ya tabianchi

Wanahabari watoto Tanzania wachagiza uelewa wa mabadiliko ya tabianchi

Getrude Clement kutoka mtandao wa wanahabari watoto wa nchini Tanzania amesema miezi Sita tangu ahutubie Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi, kiwango cha uelewa hasa ukanda wa ziwa juu ya athari hizo kimeongezeka.

Akihojiwa na Idhaa hii kwa njia ya simu kutoka Mwanza, Tanzania, Getrude amesema..

(Sauti ya Getrude)

Na kuhusu mwelekeo wa baadaye..

(Sauti ya Getrude)