Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tanzania yazungumzia umuhimu wa kuwepo UPU

Tanzania yazungumzia umuhimu wa kuwepo UPU

Tanzania imesema inajivunia kuwa kuchaguliwa kwake kuwa mjumbe wa baraza tendaji la Umoja wa mashirika ya posta duniani kumewezesha kuendelezwa kwa mfuko wa kuboresha huduma za posta ulimwenguni.

Akihojiwa na Idhaa hii Naibu kiongozi wa ujumbe wa Tanzania kwenye mkutano huo uliofanyika Uturuki, mhandisi Clarence Ichekweleza amesema .

(Sauti ya Mhandisi Clarence)

Amesema mfuko huo umekuwa na manufaa kwa nchi wanachama ikiwemo Tanzania ambapo..

(Sauti ya mhandisi Clarence)

Kuhusu fikra potofu kuwa nafasi ya posta kwa sasa inazidi kuyoyoma kutokana na teknolojia, mhandisi Clarence amesema hizo ni fikra potofu na kwamba kukua kwa teknolojia kunazidi kuboresha huduma za posta.