Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Muziki ni maisha yangu

Muziki ni maisha yangu

Ubunifu ni kitu cha kipekee na cha kibinafsi na kwa wasanii wengi ulimwenguni, ubunifu huo unakuwa kashfa na kero pale ambapo vinatumiwa vibaya au bila ya ruhusa yao, na hivyo kurudisha nyuma maendeleo . Shirika la hakimiliki la Umoja wa Mataifa, WIPO, limekuwa mstari wa mbele katika kulinda na kupigania haki ya wasanii, je harakati hizo zinapokewa vipi na wasanii?  Basi tuungane na Amina Hassan katika makala hii kufahamu hisia za mmoja wa wasanii hao...

(MAKALA)