Penye nia pana njia" kwa Mkimbizi Esther Nyakong

Penye nia pana njia" kwa Mkimbizi Esther Nyakong

Kuwapa elimu watoto na wasichana vigori katika kambi za wakimbizi ni huduma ya msingi ya kibinadamu, lakini wengi hawana nafasi. Esther, mwenye umri wa miaka 18, hakuweza kuhudhuria shule tangu mwishoni mwa mwaka 2008 hadi 2011. Kulingana na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, takribani watoto 74,000 kwenye kambi ya Kakuma nchini Kenya, wamefikia umri wa kwenda shule lakini ni mmoja tu kati ya 10 anaweza kuingia shule ya upili.  Pia, inakadiriwa kwamba wakimbizi wanaofuzu kuingia Chuo Kikuu ni chini ya asilimia moja ya wanafuzi wote, lakini Esther amesema ndoto hiyo hutimizwa.  Bryan Lahender, anaelezea Zaidi…..