UNICEF yaimarisha ulinzi wa watoto Tanzania

UNICEF yaimarisha ulinzi wa watoto Tanzania

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNICEF linawekeza katika kuhakikisha ulinzi wa watoto nchini Tanzania kwa kuboresha mifumo ya kisheria na sera ili kuwahusisha wadau muhimu katika jukumu hilo.

Katika makala ifuatayo Joseph Msami anamulika namna ulinzi wa watoto unavyotekelezwa katika taifa hilo la Afrika Mashariki.