Skip to main content

Wakimbizi wachochea maendeleo, Uganda

Wakimbizi wachochea maendeleo, Uganda

Duniani kote, kuna nchi chache zenye sera rafiki kwa wakimbizi na wahamiaji kutokana na hofu ya kiubua shinikizo kwa huduma za jamii na hatimaye ongezeko la idadi ya watu ambalo huenda litasababisha vurugu kati ya wenyeji na wakimbizi.

Lakini nchini Uganda kuna mfano wa kuigwa licha ya wakimbizi na wahamiaji kuja na changamoto mbalimbali, wanachangia kwa uchumi wa nchi kama anavyobainisha John Kibego aliyetembelea mji uliojengwa zaidi na wahamiaji na wakimbizi. Ungana naye katika makala ifuatayo.