Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tuna miezi minne ya kujadili EPA- Dkt Mahiga

Tuna miezi minne ya kujadili EPA- Dkt Mahiga

Tanzania imesema mazungumzo yanaendelea ili kuibuka na makubaliano ya ushirikiano wa kiuchumi kati ya jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC na Muungano wa Ulaya yatakayokuwa na maslahi kwa pande zote.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dkt. Augustine Mahiga amesema hayo alipohojiwa na Idhaa hii jijini New York, Marekani akisema kuwa wana jumla ya miezi minne ya kufanya mazungumzo hayo na lengo ni..

(Sauti ya Dkt, Mahiga)

Na kuhusu suala la muungano wa Ulaya kutaka kuanza kutoza kodi bidhaa kutoka Kenya, amesema..

(Sauti ya Dkt Mahiga)