Wimbo mahsusi kwa ajili ya SDGs ni zaidi ya burudani

23 Septemba 2016

Katika makala ya siku hii ya ijumaa tunaangazia kikundi cha wanamuziki wanaotunga nyimbo katika mtindo wa kufokafoka wanaojitambua kama Flocabulary.

Vijana hawa wakishirkiana na idara maelezo kwa umma ya Umoja wa Mataifa  wametunga wimbo kuhusu malengo ya maendeleo endelevu SDGs.

Ikiwa ni mwaka moja tangu kuzinduliwa kwa malengo haya ya maendeleo endelevu nchi wanachama bado wanaendelea kuyatekeleza malengo haya mada yao ikiwa; ''kuboresha maisha kote ulimwenguni''. Ungana na Brian Lehander kwa maelezo zaidi....

 

♦ Kurambaza ukurasa mahsusi wa Siku ya Kiswahili Duniani bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter