Skip to main content

Sudan Kusini na Somalia bado kuna changamoto, lakini jitihada za amani zinaendelea:IGAD

Sudan Kusini na Somalia bado kuna changamoto, lakini jitihada za amani zinaendelea:IGAD

Katibu mtendaji wa shirika la kiserikali linalohusika na masuala ya maendeleo pembe ya Afrika, IGAD, Balozi Mahboub Maalim amesema changamoto bado zipo Somalia na Sudani Kusini , lakini aneishukuru jumuiya ya kimataifa na wadau wote wanaosaidia kuhakikisha amani na utulivu katika nchi hizo unarejea.

Akihojiwa na Rosemary Musumba wa idhaa ya Kiswahili ya UM amegusia mambo mbali mbali na jinsi shirika lake linavyoendelea kujihusisha na maendelo huko katika nchi hizo na katika bara la Afrika kwa ujumla. Anaanza kwa kueleza kuhusu mkutano wa viongozi wa nchi jirani na Somalia uliofanyika karibuni mjini Mogadishu kuwa ni wa kihistoria.

(MAHOJIANO IGAD)