Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Visingizio vya kandarasi mbovu vitolewe katika mikataba- Kituyi

Visingizio vya kandarasi mbovu vitolewe katika mikataba- Kituyi

Katibu Mkuu wa kamati ya biashara na maendeleo duniani, UNCTAD, Dkt. Mukhisa Kituyi amesema azimio la haki ya maendeleo lililotimiza miaka 30 sasa linapaswa kuangaliwa upya ili liweze kufanikisha ajenda ya maendeleo endelevu.

Akihojiwa na Idhaa hii baada ya kuhutubia kikao cha ngazi ya juu cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu azimio hilo, Dkt. Kituyi amesema kuangaliwa upya kutawezesha..

 (Sauti ya Dkt. Kituyi)

Amesema serikali zilikuwa na haja ya wawekezaji na hivyo somo la miaka 30 ya azimio la haki ya maendeleo ni kwamba..

(Sauti ya Dkt. Kituyi)