Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

IGAD yashukuru UM kwa kuangazia Somalia

IGAD yashukuru UM kwa kuangazia Somalia

Katibu mtendaji wa shirika la kiserikali linalohusika na masuala ya maendeleo pembe ya Afrika, IGAD, Balozi Mahboub Maalim ameushukuru Umoja wa Mataifa na wadau wote wanaoendelea kusaidia Somalia ili iimarishe mamlaka yake ya ndani.

Akihojiwa na Idhaa hii Balozi Mahboud ametaja moja ya hatua hizo kuwa ni pamoja na viongozi wa mataifa tofauti kukutana Somalia akisema..

(Sauti ya Balozi Mahboub-1)

Amegusia pia kikao maalum cha mawaziri kilichofanyika kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa ili kuzungumzia masuala ya Somalia ambapo Balozi Maalim amesema

(Sauti ya Balozi Mahboub-2)

Akiwa anamaliza mwishoni mwa mwaka huu awamu yake ya miaka minane IGAD Balozi Maalim aliangazia pia mambo ambayo shirika lake limefanya akisema…

(Sauti ya Balozi Mahboub-3)