Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mwelekeo wa usaidizi ni kwa wakimbizi kuwezeshwa kujitegemea- Raouf

Mwelekeo wa usaidizi ni kwa wakimbizi kuwezeshwa kujitegemea- Raouf

Kenya imepokea wakimbizi kwa muda mrefu sana, na wengi wa wakimbizi hao wanatoka Somalia na Sudan Kusini na wanaishi katika kambi. Kwa ujumla Kenya imeendelea kutoa misaada ya kibinadamu na je hali ikoje kwa sasa? Rosemary Musumba amezungumza kwa njia ya simu na mwakilishi wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi nchini Kenya, Raouf Mazou na anaanza kwa kuelezea kile anachotaka mkutano wa wakimbizi na wahamiaji kiangazie.

(Sauti ya Rauf)