Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la Wiki- "Kibadili na Mbadala"

Neno la Wiki- "Kibadili na Mbadala"

Mchambuzi wako leo ni Nuhu Bakari kutoka CHAKITA, Kenya na neno la wiki hii ni tofauti ya neno Kibadili na Mbadala.