Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vita dhidi ya Malaria Tanzania, kiwanda cha viuadudu chakamilika

Vita dhidi ya Malaria Tanzania, kiwanda cha viuadudu chakamilika

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa likikutana hii leo kujadili mpango wa kimataifa wa kutokomeza Malaria, Roll Back Malaria, Tanzania imesema mkakati wake wa kudhibiti ugonjwa huo kupitia viuadudu uko mbioni kutekelezwa.

Akizungumza na idhaa hii, Meneja mradi wa kitaifa dhidi ya Malaria, Dkt. Ally Mohammed amesem kiwanda cha kuzalisha viuadudu hivyo huko mkoani Pwani kimekamilika na sasa..

(Sauti ya Dkt. Mohammed)

Na je viuadudu hivyo vina madhara?

(Sauti ya Dkt. Mohammed)