Skip to main content

Mapishi ya vitamtam Za'atar yaleta nuru kwa wakimbizi

Mapishi ya vitamtam Za'atar yaleta nuru kwa wakimbizi

Mapigano nchini Syria yamesambaratisha watu makwao, lakini si hilo tu, bali pia yamesambaratisha ndoto zao na maisha yao ya kila siku.

Wengi waliokimbia wamepoteza familia zao, nyumba zao, kazi zao na wengine biashara zao. Wakiwa ukimbizini wengine hujaribu kujikumbusha nyumbani kwa njia moja ama nyingine, na makala hii ya Brian Lehander inasimulia.....