Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vita vimebadili maisha yangu sana

Vita vimebadili maisha yangu sana

Machafuko na vita vya miaka kadhaa sasa huko Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, vimelazimu maelfu ya wakimbizi kuhama makwao na kukimbilia nchi jirani ama maeneo jirani. Mathalani, kuna waliohamia karibu na mji mkuu Bangui, hususan karibu na uwanja wa ndege, kama anavyosimulia Brian Lehander katika makala hii..