Amani na maendeleo ni lazima viende sambamba-Ban
Maendeleo endelevu yanahitaji amani endelevu, amesema
Katibu
Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon
katika
hotuba
yake
katika
mkutano
na viongozi wa kundi la nchi 20,
G20
unaoendelea
Hangzhou, China.
Katika
mkutano
huo
wa
kila
mwaka,
viongozi
wa
mataifa hayo yaliyoendelea kiuchumi Zaidi duniani
wanajidili
masuala
ya
kiuchumi ,
ambapo
Katibu
Mkuu Ban
ametoa
msisitizo
kwa
nchi
hizo
kutoa
jitihada
zaidi
katika
ajenda
ya
maendeleo
endelevu,SDGs,
ambayo
nchi
wanachama
walitia
saini
mwaka
jana.
Ban
amesema
maendeleo hayo
yanawezekana
tu
katika
nyakati
za
amani...
(
Sauti
ya Ban)
"
Maendeleo
endelevu
yanahitaji
amani
endelevu.
Ili
ajenda
ya
mwaka 2030
ya
maendeleo
endelevu
kufanikiwa,
ili
ukuaji
wa
uchumi
imara
kuwa
na
mafanikio,
tunahitaji
amani
na
maendeleo
kwenda
mkono
kwa
mkono.
Umoja
wa
Mataifa
utaendelea
kusaidia
mataifa
mpito,
katika
jitihada
zao
za
kuhakikisha
upatikanaji
wa
amani,
maendeleo
na
haki
za
binadamu. "
