Skip to main content

Neno la Wiki-Kibindo

Neno la Wiki-Kibindo

Neno la wiki hii tunaangazia neno "KIBINDO"  na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla kutoka baraza la Kiswahili Tanzania, BAKITA.

Kibindo maana yake ni kibanda au chumba kidogo cha kufanyia biashara ndogondogo, kama biashara ya vinywaji baridi, magazeti, sigara, au pipi na kistawi chake kinaweza kuwa "Genge".