Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vijana Tanzania wadadavua kile wanachohitaji

Vijana Tanzania wadadavua kile wanachohitaji

Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Vijana Duniani hufanyika sehemu mbali mbali kama siku ya kuwakumbusha, kuwaelimisha na kuwahamasisha vijana kuhusu mchango wao katika jamii.

Moja ya nchi ambako siku hiyo iliadhimishwa ni Tanzania ambapo wawakilishi wa asasi za vijana waliibua yale yanayowagusa vijana zaidi na sehemu ambazo serikali zinahitajika kuongeza juhudi kuwainua vijana.

Basi tuungane na Joseph Msami..