Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vijana hatupotezi kitu kwa kujaribu jambo jema- Andrew

Vijana hatupotezi kitu kwa kujaribu jambo jema- Andrew

Wito wa Umoja wa Mataifa wa kutaka vijana kuchukua hatua ili kufanikisha maendeleo endelevu, SDGs, umeitikiwa vyema na vijana maeneo mbali mbali duniani ikiwemo nchini Tanzania ambako kijana Andrew Minja anajihusisha na utengenezaji wa samani kwa kutumia matairi chakavu.

Akihojiwa na Idhaa hii Andrew ambaye amehitimu kidato cha sita na anasubiri kuanza Chuo Kikuu amesema..

(Sauti ya Andrew)

Amesema alianza yeye na rafiki yake lakini sasa amejumuisha vijana wengine wanne hivyo..

(Sauti ya Andrew)