Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mtoto Burundi kusalia kuomba ili kupata mlo

Mtoto Burundi kusalia kuomba ili kupata mlo

Nchini Burundi migogoro ya mara kwa mara pamoja na uchumi dhaifu vinalazimu jamii kutafuta njia mbadala kukidhi mahitaji yao ya kila siku. Na kama hiyo haitoshi, familia ambayo inajikuta imeondokewa na mkuu wa kusaka kipato, inajikuta kwenye hali mbaya zaidi kama inavyoelezea makala ifuatayo inayoweka bayana tatizo la watoto kulazimishwa kuombaomba kupata kipato cha familia. Ungana na Amina Hassan..