Skip to main content

Ujasiriamali ni siri ya utekelezaji wa SDGs: Amani

Ujasiriamali ni siri ya utekelezaji wa SDGs: Amani

Kuelekea siku ya kimataifa ya vijana Ijumaa Agosti 12, vijana kutoka mataifa mbalimbali wanashiriki Baraza la vijana kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York wakijadili maudhui ya siku hiyo ambayo ni kuweka dira katika vitendo, malengo ya maendeleo endelevu SDGs yakiangaziwa.

Miongoni mwa vijana hao ni Gerard Amani kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC, anayewakilisha taasisi ya vijana wa Afrika walioko ughaibuni DAYA.

( SAUTI GERARD)

Kijana huyu ana matarajio lukuki baada ya mkutano huu.

( SAUTI GERARD)