Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Siku ya kimataifa ya watu wa asili, haki ya elimu yasisitizwa

Siku ya kimataifa ya watu wa asili, haki ya elimu yasisitizwa

Ikiwa leo ni Siku ya Kimataifa ya Watu wa Asili, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amezitolea wito ziboreshe upatikanaji wa elimu kwa watu wa jamii za asili, pamoja na kujumuisha uzoefu na utamaduni wao kunakotolewa elimu.

Katika mahojiano na idhaa hii, Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya wafugaji na maendeleo Tanzania PIDO Martha Ntoipo amesema jamii ya watu wa asili inapaswa kuzidisha jitihada za elimu vinginevyo itaachawa nyuma katika maendeleo.

Bi Ntoipo anaeleza kile ambacho shirika lake limekifanya katika kuadhimisha siku hii.

( SAUTI MARTHA)

Na kisha akatoa ujumbe wa watu wa asili.

( SAUTI MARTHA)