Ingawa unyonyeshaji ni muhimu kwa maisha ya mtoto, kuna changamoto katika utekelezaji- WHO

Ingawa unyonyeshaji ni muhimu kwa maisha ya mtoto, kuna changamoto katika utekelezaji- WHO

Ingawa shirika la afya duniani WHO linasisitiza umuhimu wa kunyonyesha watoto maziwa ya mama pekee tangu kuzaliwa hadi umri wa miezi sita , kuna changamoto kubwa katika kutekeleza hilo.

Kauli mbiu ya mwaka huu katika wiki ya kunyonyesha, ni muwezeshe mama kunyonyesha popote na wakati wowote.

Lakini Kwa nini hilo linakuwa gumu?  Dkt. Theopista John wa WHO nchini Tanzania anaeleza

(SAUTI THEOPISTA JOHN 1)

Na endapo watu wakielewa…

(THEOPHISTA JOHN 2)