Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jumuiya ya kimataifa isaidie Somalia; Nyanduga

Jumuiya ya kimataifa isaidie Somalia; Nyanduga

Mtaalamu huru wa Umoja wa mataifa wa haki za binadamu kwa ajili ya SomaliaTom  Bahame  Nyanduga amesema jumuiya ya kimataifa inapaswa kuelekeza macho yake Somalia kutoa usaidizi kwa serikali  katika kukabiliana na uvunjfu wa haki za binadamu nchini humo hususani kwa watoto.

Baraza la usalama hapo jana lilijadili uvunjifu wa haki za watoto na kuitaja Somalia kama moja ya nchi zinazokiuka haki hizo , ambapo katika mahojiano na idhaa hii Bwana Nyanduge amesema machafuko yanaendeleza ukiukwaji huo.

( SAUTI NYANDUGA)

Amesema mwezi Septemba atawasilisha ripoti ya hali ya haki za binadamu Somalia,  kwa baraza la haki za binAdamu la UM mjini Geneva ambapo haki za wanawake na wasichana  ndilo suala kubwa zaidi kutoana na

(SAUTI NYANDUGA)